Huwezi kusikiliza tena

Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani

Mashindano ya kombe la dunia yameleta kasheshe na kutoelewana kwa baadhi ya mashabiki na wake wao nchini Kenya, wengi wao wakilalamika kwamba wanaume wanaochelewa kurudi nyumbani huenda wakawa wana mechi zingine huko nje mbali na zile za kombe la dunia.

Akiwa mjini Mombasa John Nene amezungumza na miongoni mwa wahusika na kutuandalia ripoti hii.......