Huwezi kusikiliza tena

Pistorius hana tatizo la kiakili

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius Kusini hakuwa na tatizo lolote la kiakili wakati alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

Mtaalamu wa matibabu ya akili, amesema kuwa Pistorius alikuwa sawa kiakili. Ripoti hiyo ilitolewa na daktari aliyemfanyia uchunguzi Pistorius.

Hii ina maana kuwa Pistorius alielewa alichokuwa anakifanya wakati wa mauaji ya mpenzi wake mwaka jana na kwa hivyo atatkiwa kujibu mashitaka.

Ikiwa atapatikana na hatia ya mauaji huenda akafungwa jela maisha