Huwezi kusikiliza tena

Kombe la wakimbizi Brazil

Dimba la kombe la dunia lililoandaliwa kwa niaba ya wakimbizi wanaume sasa limeanza kuwashirikisha wanawake.

Shindano hilo lililoandaliwa na shirika lisilo la kiserikalil, lilinuiwa kuchezwa tu na wanaume.

Na sasa wanawake wakimbizi kutoka mataifa ya Afrika na Mashariki ya Kati wana michuano yao.