Huwezi kusikiliza tena

Polisi kupeleleza data Uingereza

Sheria ya dharura ya kutatanisha imepitishwa na kundi maalum la bunge ya serikali ya Uingereza.

Sheria hii inahakikisha kuwa polisi na walinda usalama wanaweza kuendelea kupeleleza simu za watu na rekodi zilizopo kwa mtandao wa internet.

Japo waiziri mkuu David Cameron alisema sheria hiyo inahitajika ili kupambana na wahalifu na magaidi, madai hayo yamepingwa na kukosolewa na wanaharakati wa haki za binadamu.

Taarifa hii na nyinginezo za tekolojia, tazama hapa.