Huwezi kusikiliza tena

Uwanja wa ndege washambuliwa Libya

Uwanja wa kimataifa wa ndege nchini Libya umelipuliwa kwa roketi, siku moja baada ya mapigano kusababisha uwanja huo kufungwa