Huwezi kusikiliza tena

Vipimo vipya vya Malaria TZ

Wiki hii katika Haba na Haba tunaangazia Tanzania kuamua kutumia Kipimo kipya cha kugundua vijidudu vya Malaria kwa Haraka kijulikanacho kama MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test).

Je Wananchi wanajua kipimo hiki?

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba