Huwezi kusikiliza tena

Wanawake maaskofu? Tanzania yajibu

Kanisa la Anglican Tanzania limesema bado kuna mawazo tofauti ya kithiolojia kuhusiana na wanawake kuwa maaskofu.

Kuna baadhi ya majimbo ambayo yana maaskofu wanawake huku baadhi ya majimbo yakiwa bado hayajapitisha kuwa na maaskofu wanawake.

Mwandishi wetu Tanzania, Leonard Mubali amefanya mahojiano na katibu mkuu wa Kanisa la Anglikani Tanzania,Canon Mchungaji Dr .Dickson Chilongani kuhusiana na msimamo wao kuhusu uamuzi huo.