Huwezi kusikiliza tena

Francois Hollande azuru Afrika Magharibi

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameanza ziara ya siku tatu katika kanda ya Afrika Magharibi.

Ziara ya Hollande itaangazia swala tete la usalama katika kanda nzima pamoja na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi.

Kituo chake cha kwanza kitakuwa Ivory Coast, na atazuru Niger na Chad katika siku zijazo.