Huwezi kusikiliza tena

Mfalme adaiwa kuchochea vita Kasese

Uganda hivi karibuni imeshuhudiahali ya usalama ikidbitiwa katika mipaka yake na DRC wiki moja tu baada ya zozo wa kikabila kusababisha vifo vya watu 100.

Kuna ripoti kuwa wanajeshi walihusika na vita hivyo na wengine wengi tayari wametoroka na kuvuka mpaka na kuingia DRC.

Lakini sasa mfalme wa kitamaduni wa eneo hilo, anayetuhumiwa na serikali kwa kuhusika na mzozo huo, amezuiliwa nyumbani kwake wakati baraza lake la mawaziri limekamatwa na polisi.

Kassim Kayira ana taarifa zaidi