Huwezi kusikiliza tena

Matokeo kidato cha 6 Tanzania

Matokeo ya kitaifa ya mtihani wa kidato cha sita nchin Tanzania yametolewa

Kwa mujibu wa bodi ya mitihani, kumekuwa mabadiliko mazuri katika matokeo ya wanafunzi mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana wakati wengi walianguka.

Lakini kuna wasiwasi uliozushwa na washika dau kuwa siasa inahusishwa katika mfumo mpya wa elimu na kwamba matokeo hayadhhirishi ukweli uliopo.

Mfumo mpya wa kutahini ulibadilishwa mwaka jana kufuatia matokeo mabaya yalioshuhudiwa.

Tanzania ni nchi yenye viwango vidogo vya elimu Afrika mashariki.

Mariam Abdallah amezungumza na Harold Sungusia ambaye ni mwanaharakati wa elimu na sheria Tanzania na ameanza kwa kunieleza matokeo jumla ya mtihani nchini humo.