Huwezi kusikiliza tena

Usipuuze kumnyonyesha mtoto

Kampeni ya kimataifa kuhusu unyonyeshaji watoto inaanza leo kote duniani na itaendelea kwa siku saba.

Na katika mwanzo wa mfululizo wa makala maalum kuhusu unyonyeshaji watoto tunaanza kwa kuangazia faida za Maziwa ya mama.

Wataalam wa afya wanasema maziwa hayo ni salama kutokana na kuwa na kinga za mwili za kutosha dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Halima Nyanza ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Dar es salaam.