Huwezi kusikiliza tena

BBC Swahili kufungua rasmi studio Dar

Timu ya watangazaji wa BBC iliyokuwa ikisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam, hatimaye leo imewasili jijini humo, kumbuka tu, matangazo hayo ni moja ya shamra shamra za maandalizi ya ufunguzi wa studio mpya za BBC jijini Dar es Salaam, zenye mitambo ya kisasa katika tasnia hii ya Utangazaji.

Baruan Muhuza na Erick David Nampesya wako tayari, katika eneo la Kariakoo.