Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia yakuza akili za watoto

Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la Ofcom, watoto wenye umri wa miaka 6 wana uelewa mzuri zaidi wa teknolojia kuliko watu wenye umri wa miaka 45. Ripoti hiyo inasema kuwa uelewa wa maswala ya kidijitali, huwa mzuri zaidi kwa watoto wenye miaka 15 na kuanza kushuka miaka michache baadaye.

Kwa taarifa hii na nyinginezo za teknolojia tazama hapa