Jopo katika Mjadala wa ardhi
Huwezi kusikiliza tena

Tatizo la ardhi

Katika SEMA KENYA, tunayachimbua maswala mazito ya kitaifa pamoja na kuwapa fursa wananchi kuwawajibisha viongozi wao.

Wakati Kenya ilipokuwa ikipigania uhuru, ajenda mbili kuu zilikuwa ni uhuru na ukombozi wa mashamba.

Uhuru ulipatikana;lakini je, mashamba yetu yako huru?

Hii hapa tathimini ya mwanaharakati wa maswala ya kijamii, Okiya Omutata.