Huwezi kusikiliza tena

Mikakati ya Kenya kufaidika na mafuta

Kenya inaandaa sheria za kuhakikisha itafaidika na sekta ya mafuta ya petroli na madini endapo makampuni yaliyopewa mkataba wa kutafuta rasilimali hizo zitauza hati au leseni zake ama kupata faida kubwa kushinda ilivyotarajiwa.

Rasimu zinazojadiliwa bungeni ni ushuru unaoitwa Capital Gains na nyingine Windfall tax zitakazodhibiti mauzo hayo.

Kuna hofu hata hivyo huenda sheria hizo zikawakwaza wawekezaji kama anavyoripoti Anne Soy kutoka Nairobi