Huwezi kusikiliza tena

AU:Wagonjwa wa Ebola wasibaguliwe

Umoja wa Afrika umetoa wito wa kutaka janga la Ebola likabiliwe kwa njia isiyosababisha upweke au kuwabagua wagonjwa au Mataifa.

Akihutubia kikao cha dharura kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Mkuu wa shirika hilo - Nkosazana Dlamini-Zuma - amesema shirika hilo linahitaji kubuni mkakati wa dhati kukabili mlipuko mkubwa wa janga la Ebola.

Misaada zaidi ya Kimataifa imetangzwa kwa ajili ya kanda iliyokumbwa.Anne Soy ana maelezo zaidi.