Huwezi kusikiliza tena

Ebola:Wagonjwa warejeshwa nyumbani

Madaktari wasio na Mipaka MSF wanasema wamezidiwa na idadi ya wagonjwa wa Ebola kiasi kwamba wanalazimika kuwarudisha wagonjwa nyumbani kutoka katika kituo chake cha afya cha Monrovia, nchini Liberia.

Shirika la Afya Duniani nalo linaonya kuwepo na maelfu ya maambukizi mapya katika wiki chache zijazo