Pistorius katika sekunde 60

Pistorius katika sekunde 60

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius atajua hatma yake ifikapo Ijumaa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake Reev Steenkamp inayomkabili.

Haya ni maelezo mafupi kumhusu mwanariadha huyu katika sekunde sitini.