Huwezi kusikiliza tena

Jaji ampata na hatia Oscar Pistorius

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp pasi na kukusudia.

Pia alipatikana na hatia ya kutumia silaha yake visivyo alipokuwa mgahawani.