Mahari imepigwa marufuku .Wapi huko ?
Huwezi kusikiliza tena

Mahari yapigwa marufuku Tororo Uganda

Mahari wilayani Tororo mashariki mwa Uganda yamepigwa marufuku na baraza la wilaya hiyo baada ya kubaini kuwa mahari Inamdhalilisha mwanamke.

Utafiti uliofanywa na asasi isiyokuwa ya kiserikali ya MIFUMI, umeonyesha kuwa mume akilipa mahari anamgeuza mwanamke kuwa mtumwa.

Mwandishi wetu Issaac Mumena alitembelea wilaya ya Tororo na kutuandalia ripoti hii: