Huwezi kusikiliza tena

Gari la kwanza kuchapishwa 3D

Gari la kwanza aina ya mfumo wa 3D la kuchapishwa na ambalo liaendeshwa na dereva, limezinduliwa mjini Chicago.

Ndio ...Ni kama sasa tunaweza kuchapisha magari....Gari hilo kwa jina, Strati lina sehemu 40 na ilichukua masaa 44 kulichapisha kwa kutumia betri.

Kampuni iliyotengeza gari hilo Local Motors, inasema kuwa itaanza kuliuza nchini Marekani baadaye mwezi huu. Kwa taarifa hii na nyinginezo tazama makala hii