Kumbukumbu ya Ann Soy kuhusu Westgate
Kumbukumbu ya Ann Soy kuhusu Westgate
Kenya inakumbuka mwaka mmoja tangu kutokea shambulio la kigaidi la West Gate wiki hii.
Anne Soy wa idhaa ya BBC alikuwa miongoni mwa wanahabari wa kwanza kuripoti kuhusu shambulio hilo muda mfupi baada ya kutokea katika duka la Westgate jijini Nairobi
Mwaka mmoja baadaye amerejea alipokuwa nje ya jengo hilo na kukumbuka yaliyojiri.