Maonesho nanenane kuboresha kilimo TZ?

Maadhimisho wa nanenane yanayofanyika nchini Tanzania, Je yanaweza vipi kuboresha kilimo Tanzania? Je mkulima anaweza jifunza nini kupitia maonyesho ya nanenane?