Msikiti wazua Utata Afrika Kusini

Hii leo huko nchini Afrika kusini msikiti uliozusha utata baina ya waumini wa dini ya Kiisilamu mjini Cape Town unatarajiwa kufunguliwa rasmi. Wadhamini wa Msikiti huo wanasema itakuwa nyumba ya ibada kwa Watu wa madhebu yote bila kumbagua mtu yoyote,huku baraza la waisilamu mjini Cape Town likipinga kuwepo kwa msikiti huo kwa madai kuwa viongozi wa msikiti huo wanapinga mafundisho ya mtume Mohd - Salalahu Alayhi Wasalam.

Kutoka Johannesburg Mwandishi wetu Omar Mutasa ametutumia taarifa ifatayo .