Westgate:Wakimbizi wafanyibiashara Daadab

Punde baada ya mkasa huo serikali ya Kenya ilifanya msako kwenye kitongoji cha Easteleigh jijini Nairobi, mahala ambako wanaishi jamii kubwa ya wasomali, na kuwanasa maelfu ya watu wa asili hiyo wanao daiwa kuwa wakimbizi kutoka nchi jirani ya Somalia.

Wote walionaswa katika msako huo walisafirishwa hadi kwenye kambi za wakimbizi za Dadaab... Mwandishi wetu Bashkash Jugsodaay alitembelea kambi hizo na kutuandalia taarifa ifuatayo.