Westgate:Msusi aliyenusurika

Wakati Kenya ikitimiza mwaka mmoja tangu shambulizi hilo, kumbukumbu za tukio lenyewe bado mbichi miongoni mwa majeruhi.

Rachel Muraya anafanya kazi kwenye saluni ya urembo mjini Nairobi, yeye pia alinusurika katika kadhia hiyo, alizungumza na mwandishi wa BBC Gladys Njoroge na kusimulia masahibu yaliyomkuta, na jinsi kisa hicho kilivyobadilisha maisha yake...