Ongezeko la ajali nchini Tanzania

Haba na Haba inaangalia haki za madereva wa magari ya abiria na pia tatizo la kuongezeka kwa ajali za magari nchini Tanzania. Je kuna uhusiano madereva kukosa haki zao kama waajiriwa na ongezeko la ajali barabarani. Na je tunawezaje saidia kupunguza muongezeko wa ajali za magari nchini Tanzania