Huwezi kusikiliza tena

BBC Gahuza yatimiza miaka 20

Idhaa ya BBC ya maziwa makuu imetimiza miaka 20 tangu ianze kupeperusha matangazo yake.

Idhaa hiyo ilianza kupeperusha matangazo yake wakati mapigano ya kikabila ya wenyewe kwa wenyewe yalipozuka nchini Rwanda.