Huwezi kusikiliza tena

Mahakama ya ICC inamfaidi nani?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anakabiliwa na tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu katika mahakama ya kimataifa ya ICC, Hague.

Alikanusha madai kuwa alihusika na gahsia za baada ya uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007/08 , ghasia ambazo ziliwaua wakenya 1000. Rais Kenyatta ni Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika mbele ya mahakama hiyo. Hata hivyo, mahakama hii ilinudw akumsaidia nani hasa?