Huwezi kusikiliza tena

Maradhi ya akili ni kero TZ

Watu milioni 26 duniani wanaishi na ugonjwa mkubwa wa akili (Skizofrenia), huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka hadi kufikia milioni 60 ifikapo mwaka 2050.

Wakati takwimu hizo za shirika la Afya duniani zikionesha hivyo, Tanzania, inasemekana kukabiliwa na uhaba wa wataalamu wa kuhudumia wagonjwa wa magonjwa hayo.

Halima Nyanza ameandaa taarifa kuhusiana na ugonjwa huo na changamoto zake.