Huwezi kusikiliza tena

Twitter yaishitaki Marekani

Twitter imeishtaki serikali ya Marekani ikisema inafaa kuruhusiwa kuchapisha maombi ya kufanya uchunguzi yaliowasilishwa na serikali.

Kwa taarifa hii na nyingizo za teknolojia tazama makala haya.