Pistorius ahukumiwa Jela miaka 5
Huwezi kusikiliza tena

Pistorius Jela miaka 5

Mwanaridha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorious, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

Kesi hiyo maarufu iliyochukuwa kuwa miezi 7 hatimaye imemalizika kwa kishindo.

Muda wote huo Pistorious alikuwa akisisitiza kuwa alimpiga risasi Bi Steenkamp kwa bahati mbaya, akidhani ni mwizi aliyeingia nyumbani kwake. Jaji alikubaliana na dhana hiyo.

Mwezi Septemba Pisotorius alipatikana na hatia ya kuuwa bila kukusudia. Omar Mutasa ana maelezo zaidi