Boda boda zanadi sanaa Kampala
Huwezi kusikiliza tena

Bodaboda ni sanaa Uganda

Katika barabara za jijini Kampala -mji mkuu wa Uganda-siku hizi kuna vitu ambavyo vimepambwa ambavyo si vya kawaida.

Kuna picha kubwa za michoro ya sanaa ikiwa juu ya pikipiki -maarufu kama Bodaboda.

Hii ni sehemu ya tamasha la sanaa la kisasa la michoro. Shabaha ya maonyesho haya ni kufichua maisha na sauti ambazo hazijawahi kusikika.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango ametutumia taarifa hii.