Je kifo cha rais Sata kinakuathiri vipi
Huwezi kusikiliza tena

Je kifo cha rais Sata kinakuathiri vipi

Rais wa Zambia Michael Sata alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 77 jijini London alikokuwa anatibiwa.

Kifo cha Sata kimekuja siku chache tu baada ya nchi hiyo kusherekea miaka hamsini ya uhuru.

Si wananchi wa Zambia pekee wanaomboleza kifo cha kiongozi wao.

Kifo cha rais Sata kinagusa nchi nyingi za Afrika.

Zuhura Yunus alizungumza na Profesa mshiriki Kitila Mkumbo ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, kutoka Dar es Salaam Tanzania katika matangazo ya Dira ya Dunia TV.