Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili
Huwezi kusikiliza tena

Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili

Mapigano yaliyoanza Desemba iliyopita, na ambayo yamesababisha vifo vya maelfu ya watu, yamechangia raia wengi wa Sudan Kusini kupata magonjwa ya akili.

Katika nchi yenye idadi ya watu milioni kumi, kuna madaktari wawili tu ambao ni wataalamu wa magonjwa ya akili.

Maryam Dodo Abdallah ana maelezo zaidi.