Maandamano dhidi ya matumizi ya Mtandao Hungary
Huwezi kusikiliza tena

Kodi ya mtandao yatibua maandamano

Maelfu ya waandamanaji katika mji mkuu wa Hungary, Budapest wametaka kusitishwa kwa sheria iliyopendekezwa ya kutoza kodi matumizi ya internet.

Kwa hayo na mengine mengi tazama makala ya wiki hii ya Click