Misa ya wafu ya aliyekuwa rais wa Zambia Michael Sata ilifanyika mjini London Uingereza
Huwezi kusikiliza tena

Misa ya wafu ya Sata yafanyika London

Ibada ya wafu kwa aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata imefanyika mjini London.

Bwana Sata alifariki jumanne wiki iliyopita kwenye hospitali moja mjini London alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.

Ibada hiyo katika kanisa katoliki la Our Lady, mtaa wa St John's Wood kaskazini mwa London japo ilikuwa ya wafu lakini ilijaa nymbo za sifa na kuhudhuriwa na wageni mashuhuri.

Peter Musembi alihudhuria misa hiyo na ametuandalia taarifa ifuatayo