Huwezi kusikiliza tena

'Rushwa' ya Damu Tanzania

Imezoeleka kusikia ulanguzi na ubadhirifu katika bidhaa na shughuli mbalimbali ikiwemo rushwa ya pesa.

Lakini katika eneo la Kaskazini magharibi huko nchini Tanzania hali ni tofauti ambapo baadhi ya wananchi wanalalamika kuuziwa damu ya binadamu kwenye baadhi ya hospitali.

Kwa kawaida damu hairuhusiwi kuuzwa kwa namna yoyote.

Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza ameandaa taarifa zaidi kutoka huko.