jakaya kikwete
Huwezi kusikiliza tena

Rais Jakaya Kikwete apona Saratani

Akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema alikuwa akisumbuliwa na saratani ya tezi dume lakini hata hivyo baada ya kufanyiwa upasuaji hali yake inaendelea vizuri.