kipaaza sauti
Huwezi kusikiliza tena

Msanii King Dee apokelewa vyema

Katika Burudani wiki hiii tunaangazia muziki wa kizazi kipya. King Dee ni mwanamuziki wa kizazi kipya ,ni msanii ambaye kibao chake kimepokelewa vizuri si nchini Kenya pekee anakotokea bali pia mataifa kadhaa ya Afrika zikiwemo Tanzania na Burundi. Kwanza anasimulia muziki wake unahusu nini.