Huwezi kusikiliza tena

Yaya akiri kumtesa mtoto UG

Jolly Tumuhirwe alikiri mbele ya mahakama nchini Uganda kwamba alimtesa mtoto mdogo lakini akamuomba jaji kumsamehe.

Tumuhirwe alifikishwa mahakamani na kushitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto mdogo. Hilo ndilo kosa aliloshtakiwa nalo Jolly ingawa polisi wlaitaka ashtakiwe na kosa la jaribio la mauaji.