Huwezi kusikiliza tena

Je muziki wa DRC umepoteza ladha?

Kinshasa ni mji maarufu kwa muziki wa rumba,uliofanya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuwa maarufu duniani.

Sasa muziki huo unaonekana kuzorota, kufuatia aina mpya ya muziki wa sasa uliobuniwa na kizazi kipya, ambao Umeshamiri matusi na kuzungumzia ngono, huku kwenye Klabu za muziki vijana wa kike na wa kiume wakicheza wakiwa nusu-uchi.

Mwandishi wa BBC Mbelechi msoshi anatupasha zaidi toka Kinshasa.