Huwezi kusikiliza tena

Mashirika yasio ya kiserikali taabani Kenya

Serikali ya Kenya imefutulia mbali leseni za mashirika 510 yasio ya kiserikali ikiwemo 15 ambayo yametuhumiwa kuhusika na ugaidi.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa afisa mmoja mkuu wa serikali ambaye amesema kuwa serikali pia imepiga tanji akaunti za benki za mashirika hayo pamoja na kufutilia mbali vibali vya kazi vya wafanyakazi wa kigeni wa mashirika hayo.