Huwezi kusikiliza tena

Bungei:''Nusura pombe iniue''

Wilfred Bungei ni mwanariadha wa Kenya aliyeshinda medali ya dhahabu mbio za mita mia nane katika michezo ya Olympiki mwaka wa 2008 mjini Beijing, China.

Miaka miwili aliamua kustaafu uwanjani.Lakini ustaafu wake Bungei akaaingilia ulevi wa kupindukia.

John Nene amezungumza na Bungei..