MONUSCO na juhudi za kuleta amani DRC
Huwezi kusikiliza tena

MONUSCO na juhudi za kuleta amani

Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani, kimefanya mkutano kuzungumzia usalama na amani, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Mbelechi Msochi anaarifu zaidi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.