Tecknolojia
Huwezi kusikiliza tena

Kampuni za teknolojia zatoa mipango yao

Maonyesho makubwa ya teknologia mjini Las Vegas yamezifanya kampuni kubwa za teknologia kuzindua mipango yao ya mwaka 2015.Kampuni ya Sharp ilionyesha runinga yake mpya aina ya 8k na kutangaza kuwa itaanza kuuzwa mwishoni mwa mwaka huu.Runinga hiyo Inaoyesha filamu za 3D bila ya mtu kuvaa miwani.Ama kwa kweli ni habari njema kwa wale wote wanaopanga kunua runinga.