Huwezi kusikiliza tena

Je ulijua kama ukahaba ni halali DRC?

Ni Biashara halali kabisaaaa katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo Ukahaba.

Hata hivyo jamii sasa imeanza kulalamika kwamba kutolewa ruhsa kufanya ukahaba kumeathiri maadili ya kijamii kwa sasa watoto chini ya umri wa miaka 18 wamaingilia biashara hii.

Mwadishi wetu mashariki mwa Congo, Byobe Malenga ametemebelea eneo la KIGE ni maarufu sana na baishara ya ukahaba. Ana maelezo zaidi.