Huwezi kusikiliza tena

Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi

Zanzibar inaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, yalioung'owa utawala wa Sultani.

Kuna Kumbukumbu nyingi za mapinduzi hayo na baadhi ya wazee walioshiriki wanasimulia jinsi walivyopanga mapinduzi hayo, katika taarifa ya Arnold Kayanda akiwa Visiwani Zanzibar.