Huwezi kusikiliza tena

Wabunge wa DRC wavutana

Kumetokea mvutano katika Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya wabunge wa upinzani kupinga sheria mpya ambayo ina kipengele kinachotaka uchaguzi wa Rais na wabunge ufanyike baada ya sensa kufanyika.

Wapinzani wanasema hatua hiyo haikubaliki kwani hatua hiyo itamfanya Rais wa nchi hiya Joseph Kabila kubakia madarakani hadi mwaka 2016 ambao ni mwaka wa uchaguzi.

Kutoka Kinshasa Mbeleshi Msosi na taarifa zaidi.