Huwezi kusikiliza tena

Kunguru wavamia Mombasa. Kunani?

Kisiwani Mombasa kuna ndege mmoja tu anayetawala; naye ni Kunguru wa Kihindi, au ukipenda 'Indian House Crow'.

Ni kunguru aliyesafirishwa na meli karne iliyopita ili kudhibiti taka, lakini sasa ndege huyu anadhibiti hadi ndege wengine akiwafukuza na kuwaua.

Juhudi za kumwangamiza pia zinagonga mwamba kwani asemekana ana akili ya kumkumbuka na kumtoroka adui. Hii ni taarifa yaken mwandishi wa BBC mjini Mombasa Ferdinand Omondi